CHADEMA yatangaza kuhairisha 'Operesheni UKUTA' hadi Oktoba Mosi kutoa nafasi ya mazungumzo kati ya Rais na viongozi wa Dini.

Freeman Mbowe asema wamekutana mara nyingi kwenye vikao na Viongozi wa Dini lakini CCM imekuwa ikigoma kudhuria vikao hivyo, hivo wao wameeamua kuhairisha operesheni ya UKUTA mpaka baada ya mazungumzo kati ya viongozi wa dini na raisi



Post a Comment

 
Top