MABALOZI WA USALAMA BARABARANI
Miongoni mwa waliosimikwa kuwa mabalozi wa usalama barabarani ni mkali wa kikapu Hasheem Thabeet ambaye yupo uwanjani.
Wengine na mkali wa bongo fleva Diamond Platnumz pamoja na nahodha wa Taifa Stars, Mbwana Samatta.
Tukio hili linaendelea katika uwanja wa Uhuru Dar es Salaam, na linarushwa LIVE kupitia Azam TWO.
#UsalamaBarabarani
Post a Comment