Kuelekea mchezo wa Ngao ya Jamii unaosubiriwa kwa hamu kati ya Simba dhidi ya Yanga leo saa 11 jioni katika uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam, timu ya Simba SC imetoa kikosi chake kikiongozwa na Haruna Niyonzima pamoja Emmanuel Okwi.
Kupitia Msemaji wa Klabu hiyo Haji Manara amekiweka Kikosi hicho hadharani mapema wakati timu hiyo ikiwa tayari inaelekea uwanjani.
Kikosi cha Simba kinaongozwa na Kipa mpya akitokea Azam FC Aishi Manula wachezaji wengine wakiwa ni
2.Ally Shomari
3.Erasto Nyoni
4.Salim Mbonde
5.Method Mwanjale
6.James Kotei
7.Shiza Kichuya
8.Mzamiru Yassin
9.Laudit Mavugo
10.Emanuel Okwi
11.Haruna Niyonzima
Pamoja na hao Kikosi cha wachezaji wa akiba ni pamoja na 1. E. Mseja 2.M. Tshabalala 3.Juuko M 4. J. Mkude 5.M.Kazimoto 6.J Luizio 7.MO Ibrahim
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Post a Comment