kamati ya bunge:
bandari ya dar imedorora,haina mizigo
Kamati ya bunge leo imeshangaa baada ya kufika bandari ya dar na kukuta hali ya bandari ikiwa kavu haina mizigo.. Wakati huo mkurugenzi wa TPA akikiri wazi kwamba kwa sasa hali ya bandari sio nzuri Kamati hiyo imeiwatupia lawama washauri wa rais kwa kushindwa kumshauri vizuri rais kuhusu kupungua mizigo bandarini Pia kamati hiyo imetaka tra waseme wazi Pesa zinazoongezeka kila mwezi zinatoka wapi wakati hali ya bandari ni mbaya Pia kamati imeomba mjadala wa haraka kunusuru hali ya bandari ya dar es salaam Chanzo:
Source ITV
Post a Comment